Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kisilt'e
ni
lugha ya Kiafrika-Kiasia
nchini
Ethiopia
inayozungumzwa na
Wasilt'e
. Mwaka wa 2007 idadi ya wasemaji wa Kisilt'e imehesabiwa kuwa watu 935,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kisilt'e iko katika kundi la Kisemitiki.
|
Makala hii kuhusu mambo ya
lugha
bado ni
mbegu
.
Je, unajua kitu kuhusu
Kisilt’e
kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuongeza habari
.
|