Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kirsten Prout
|
---|
Amezaliwa
| 28 Septemba
1990
(
1990-09-28
)
(umri 33)
|
---|
Utaifa
| Mkanada
|
---|
Kazi yake
| Mwigizaji
|
---|
Miaka ya kazi
| 2000–hadi sasa
|
---|
Kirsten Prout
(amezaliwa Septemba 28, 1990) ni mwigizaji wa filamu kutoka nchini
Kanada
ambaye kazaliwa mjini
Vancouver
,
British Columbia
. Alipata kucheza katika mfululizo wa TV ya ABC Family,
Kyle XY
alicheza kama Amanda Bloom. Vilevile anajulikana kwa kucheza kama Charlotte "Char" Chamberlin kwenye igizo la vijana la ABC Family,
The Lying Game
na Abby kwenye Elektra.
Baada ya kumaliza elimu ya juu, Prout alijiunga na
Chuo Kikuu cha McGill
kwa mwaka mmoja, ambapo alijikita zaidi katika masuala ya fasihi katika Kiingereza.
[1]
Kiangazi kilichofuata alijiandikisha katika miradi mipya miwili, na hatimaye kuacha kusoma chuo kikuu.
[1]
Prout ana mdogo wake wa kike anaitwa Jennifer.
[2]
Mwaka
|
Jina
|
Uhusika
|
Maelezo
|
2000
|
The Linda McCartney Story
|
Stella
|
TV movie
|
Once Upon a Christmas
|
Brittney Morgan
|
TV movie
|
2001
|
Mindstorm
|
Young Tracy Wellman
|
The Wedding Dress
|
Stella Carver
|
TV movie
|
Twice Upon a Christmas
|
Brittney Morgan
|
TV movie
|
2002
|
Jeremiah
|
Elayna
|
Episode: "The Touch"
|
2003
|
Stargate SG-1
|
Nesa
|
Episode: "Birthright"
|
2004
|
The Love Crimes of Gillian Guess
|
Amanda Guess
|
TV movie
|
2005
|
Elektra
|
Abigail "Abby" Miller
|
2006?2009
|
Kyle XY
|
Amanda Bloom
|
Main role
|
2007
|
Tell Me No Lies
|
Samantha Cooper
|
TV movie
|
2008
|
Class Savage
|
Julye
|
Main role
|
2010
|
The Twilight Saga: Eclipse
|
Lucy
|
Seven Deadly Sins
|
Miranda
|
My Super Psycho Sweet 16: Part 2
|
Alex Bell
|
TV movie
|
Maternal Obsessions
|
Taylin
|
TV movie
|
Meteor Storm
|
Kara
|
TV movie
|
2011-2012
|
The Lying Game
|
Charlotte "Char" Chamberlin
|
Series regular, 12 episodes
|
2012
|
My Super Psycho Sweet 16: Part 3
|
Alex Bell
|
TV movie
|
NCIS
|
Lydia Wade
|
Season 10 Episode 8: "Gone"
|
2013
|
Psych
|
Zola
|
Season 7 Episode 6: "Cirque du Soul"
|
Devious Maids
|
Allison
|
Season 1 Episode 5: "Taking Out the Trash"
|
Social Nightmare
|
Cat
|
TV Movie
|
No Clue
|
Reese
|
2014
|
Joy Ride 3
|
Jewel McCaul
|
Direct to video
|