Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kioo
ni
dutu
imara na ngumu inayopatikana kwa
umbo
lolote. Kwa kawaida ni kiangavu na wazi maana yake kinaruhusu kuona yale yaliyopo nyuma yake. Inatengenezwa pia kwa
rangi
mbalimbali kwa mfano kwa ajili ya
madirisha
ya
makanisa
. Kioo ni dutu
hobela
, hakina
fuwele
ndani yake.
Matumizi ya kila
siku
ni katika
chupa
na madirisha ya kioo.
Kioo hutokea kiasili kama
silika
, inapashwa
joto
kali zaidi ya
sentigredi
2,000. Watu walikuta kioo cha aina hiyo baada ya
milipuko
ya
volkeno
au
moto
asilia mkali. Walijifunza kuitengeneza kwa kuongeza viungo kadhaa vinavyopunguza kiwango cha kuyeyuka.
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
|
Makala hii kuhusu mambo ya
kemia
bado ni
mbegu
.
Je, unajua kitu kuhusu
Kioo
kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuongeza habari
.
|