Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kimisri kilivyoandikwa.
Kimisri
ni
lugha
ya
kale ya Misri
. Kiliandikwa kwa kutumia
hiroglifi
.
Kilipoendelea kikaja kuwa lugha ya
liturujia
ya
Kanisa la Misri
ambayo inatumika hata leo katika
ibada
, ila si katika
maisha
.