Vimatu , matumatu au maige ni wana au tunutu wa panzi . Wanafanana na panzi wapevu lakini ni wadogo zaidi na mabawa yao hayajakomaa.