Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kieire
(kwa
lugha
hiyo:
Ghaeilge
) ni kati ya
lugha za Kiselti
,
tawi
la
lugha za Kihindi-Kiulaya
.
Ni
lugha mama
ya
watu
141,000 hivi, lakini wanaoijua kama
lugha ya pili
ni 1,865,000 hivi, hasa katika
kisiwa
cha
Ireland
hasa kwa sababu ni
lugha ya taifa
na
lugha rasmi
ya kwanza ya
Eire
. Kwa sababu hiyohiyo ni pia lugha rasmi mojawapo ya
Umoja wa Ulaya
.
|
Makala hii kuhusu mambo ya
lugha
bado ni
mbegu
.
Je, unajua kitu kuhusu
Kieire
kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuongeza habari
.
|