Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kichwa
ni sehemu ya mwili ambayo kwa mwandadamu na vetebrata huwa na
ubongo
,
macho
,
masikio
,
pua
na
kinywa
ambazo hutumiwa kwa kuona, kusikia, kunusa, na kuonja.
Kichwa ni sehemu iliyo tofauti na
kiwiliwili
. Maumbile ya kichwa yametokea kwa njia ya
mageuko ya uhai
. Katika mchakato huu milango ya fahamu, mdomo na kitovu cha neva zilianza kukaa pamoja kwenye sehemu ya mbele ya viumbe. Kwa vertebrata mkusanyo huu umepata kinga cha mifupa ya
fuvu
kinachviringisha mkusanyiko wa neva ulioendelea kuwa ubongo.
Kwa binadamu kichwa huwa kimefunikwa na
nywele
.
Viungo vya Nje
Evolution of the human head
|
Makala hii kuhusu mambo ya
anatomia
bado ni
mbegu
.
Je, unajua kitu kuhusu
Kichwa
kama matumizi yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuongeza habari
.
|