Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kianfillo
ni
lugha ya Kiafrika-Kiasia
nchini
Ethiopia
inayozungumzwa na
Waanfillo
. Mwaka wa 1990 idadi ya wasemaji wa Kianfillo imehesabiwa kuwa watu 500 tu. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kianfillo iko katika kundi la Kiomotiki.
|
Makala hii kuhusu mambo ya
lugha
bado ni
mbegu
.
Je, unajua kitu kuhusu
Kianfillo
kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuongeza habari
.
|