Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kelvin Spacey
Kevin Spacey Fowler
,
CBE
(
heshima
) (alizaliwa
Julai 26
,
1959
) ni
mwigizaji
, mwongozaji,
mwandishi wa habari
na mtayarishaji wa filamu kutoka nchini
Marekani.
Spacey alizaliwa kusini mwa
Orange
,
New Jersey
. Alihamia
kusini
mwa
California
akiwa na miaka
minne
. Jina "Spacey" lilikuwa jina la
bibi
yake, aliiita kama jina hilo kuigizia akiwa shuleni .Alifanya kazi kama mwigizaji katika
ukumbi
wa
michezo
kabla ya kufanya
kazi
katika
sinema
na
maonyesho
.
Kuonekana kwake kwenye
jukwaa
kwa mara ya kwanza ilikuwa ni
mwaka
1981
. Alikuwa
msaidizi
mhusika asiyekuwa na umuhimu mkubwa katika utendaji wa
tamasha
la
New York Shakespeare
la
Henry VI
, Sehemu ya kwanza.
|
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni
mbegu
.
Je, unajua kitu kuhusu
Kevin Spacey
kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuongeza habari
.
|