한국   대만   중국   일본 
Kaweni - Wikipedia, kamusi elezo huru Nenda kwa yaliyomo

Kaweni

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mwonekano wa juu wa Kaweni

Kaweni ni kati ya vitongoji vya mji wa Mamoudzou kwenye kisiwa cha Maore .

Ina wakazi 10,000. Iko km 2 kutoka kitovu cha mji. Kuna eneo la viwanda.

Viungo vya nje [ hariri | hariri chanzo ]