Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Karne ya 8
ilikuwa kipindi cha miaka mia moja kati ya
701
na
800
. Kikamilifu kilianza tarehe 1 Januari 701 na kuishia 31 Desemba 800. Namba zake zinafuata hesabu ya miaka "
baada ya Kristo
".
Kama kila "
karne
" ni kipindi kinachohesabiwa kwa hiari ya kibinadamu kwa sababu ni mgawanyo wa
kalenda
tu: katika hali halisi maendeleo na mabadiliko makubwa hayafuati migawanyo ya kalenda ya kibinadamu.
Kuna mambo mengi yaliyotokea wakati wa karne hii, kama haya yafuatayo.
|
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni
mbegu
.
Je, unajua kitu kuhusu
Karne ya 8
kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuongeza habari
.
|