Karaman (zamani uliitwa Larende ) ni mji wa kusini ya kati huko nchini Uturuki . Mji upo kaskazini mwa Milima ya Taurus , takriban kilomita 100 kutoka mjini kusini mwa Konya . Huu ni mji mkuu wa Mkoa wa Karaman . Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2000, idadai ya wakazi wanaoishi hapa ilifikia kiwango cha 152,450 ambao wengine 105,834 wanaishi mjini kwa Karaman. [1] [2] Wanaokalia katika eneo la kilomita za mraba zipatazo 3,686. [3]
{{ cite web }}