Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
|
Makala hii kuhusu
"Kanuni za kifonolojia"
ni fupi mno. Inahitaji kupanuliwa mapema.
|
Kanuni za kifonolojia
ni mabadiliko mbalimbali yanayotokea wakati mtu anapotamka
neno
au tungo, hapa tunaangalia zaidi kipande
sauti
ambacho hubadilikabadilika na kuwa katika tofauti. Kanuni hizo ni:
- udondoshaji
- uyeyushaji
- ukaakaaishaji
- muungano wa
irabu
- tangamano la irabu
- ving`ong`o kuathiri
konsonanti
- konsonanti kuathiri ving`ong`o
- ving`ong`o kuathiri irabu