Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mji wa Kansas City, Missouri
Kansas City
Kansas City
ni
mji
wa
Marekani
katika
jimbo
la
Missouri
.
Mji una wakazi wapatao 508,000 lakini
rundo la jiji
linao
milioni
2.2 wanaoishi katika mji huu.
Mji upo
mita
277 juu ya
usawa wa bahari
.
|
Makala hii kuhusu maeneo ya
Marekani
bado ni
mbegu
.
Je unajua kitu kuhusu
Kansas City, Missouri
kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuongeza habari
.
|