Ukanda wa Aegean ( Kituruki : Ege Bolges) ni moja kati ya kanda 7 za Uturuki ambazo zimetengwa kwa ajili ya kuhesabia sensa ya wakazi. Ipo kwenye upande wa mgharibi mwa nchi, imepakana na Bahari ya Aegean (Ege Denizi) katika upande wa kaskazini, kanda ya Marmara katika kaskazini, kanda ya Mediterranea katika kusini na kusini-magharibi ni kanda ya Anatolia ya Kati mashariki mwake.
Aegean · Bahari Nyeusi · Anatolia ya Kati · Anatolia ya Mashariki · Marmara · Mediterranea · Kusinimashariki ya Anatolia