Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kamil Jacek Glik
(alizaliwa
3 Februari
1988
) ni
mchezaji
wa
soka
wa Poland ambaye anacheza katika
klabu
ya AS Monaco na
timu ya taifa
ya Poland.
Klabu alizochezea ni pamoja na Piast Gliwice (2008-2010), Palermo (2010-2011) na
Torino F.C.
(2011-2016) ambako alichaguliwa kuwa
nahodha
wa
timu
hiyo.
Alishiriki katika UEFA Euro mwaka
2016
.
|
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni
mbegu
.
Je, unajua kitu kuhusu
Kamil Glik
kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuongeza habari
.
|