Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Ishara ya kamanda wa Jeshi la Majini la Merika
Kamanda
(kutoka
Kiingereza
:
Commander
) ni
cheo
cha
afisa
wa
nevi
na
jeshi la anga
kilicho chini ya
Nahodha
na juu ya
Luteni Kamanda
.
Cheo cha kamanda pia hupatikana katika baadhi ya vikosi vya
polisi
.