Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kaka
ni
jina
ambalo linatumika kwa
ndugu
wa
jinsia
ya kiume
, hasa akimzidi
umri
mwingine ambaye ni mdogo wake, lakini pengine hata kwa mdogo ikiwa msemaji ni
ndugu wa kike
anayetaka kuonyesha
heshima
kwa jinsia ambayo inapewa
haki
zaidi katika masuala mbalimbali (urithi, ndoa n.k.) kadiri ya
utamaduni
husika.
Mara nyingi
mtoto wa kiume wa kwanza
ndiye mwenye nafasi ya pekee katika
familia
, k.mf. katika
Biblia
.