Sigismund ( 15 Februari 1368 ? 9 Desemba 1437 ) alikuwa Kaizari wa Dola la Ujerumani kuanzia 1410 hadi kifo chake. Alivishwa taji la Kaizari mwaka wa 1433 tu. Alimfuata Rupert , na kufuatiwa na Albert II .