Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Usawa wa wastani wa maji ya bahari
hutumika kama
kipimo
cha kulinganisha
kimo
cha mahali
duniani
toka usawa wa
bahari
. Hali halisi
usawa wa bahari
hubadilika kati ya mahali na mahali na muda hadi muda. Kwa hiyo kuna kadirio la wastani wa vipimo hivyo inayotumika kuwa usawa bahari wastani.
Kawaida hutumika katika
sentensi
kama: "
Nairobi
iko
mita
1644 juu ya usawa wa bahari."
Au: "
Ndege
inasafiri
mita
11.000 juu ya usawa wa bahari"
Kifupi chake: UB
|
Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni
mbegu
.
Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Je, unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuiongezea habari
.
Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno.
|