Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
'
Jules Bordet
(
13 Juni
1870
?
6 Aprili
1961
) alikuwa daktari kutoka nchi ya
Ubelgiji
. Hasa alichunguza virusi visababishavyo magonjwa mbalimbali. Mwaka wa
1919
alikuwa mshindi wa
Tuzo ya Nobel ya Tiba
.
|
Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni
mbegu
.
Je, unajua kitu kuhusu
Jules Bordet
kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuongeza habari
.
|