Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Joseph Pulitzer
(
10 Aprili
1847
–
29 Oktoba
1911
) alikuwa
mhariri
wa
magazeti
nchini
Marekani
; lakini alizaliwa nchi ya
Hungaria
. Alinunua magazeti mbalimbali na kusimamia uhariri wao.
Katika hati ya
wasia
yake alisaidia kuanzisha Idara ya Uandikaji Habari ndani ya
Chuo Kikuu cha Columbia
iliyofunguliwa
mwaka
wa
1912
.
Tangu mwaka
1917
,
chuo
hicho kimetoa
Tuzo ya Pulitzer
kwa ajili ya
maandishi
bora.
|
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni
mbegu
.
Je, unajua kitu kuhusu
Joseph Pulitzer
kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuongeza habari
.
|