Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jordyn Pamela Huitema
(amezaliwa Mei 8,
2001
[1]
) ni
Mkanada
mchezaji
wa
mpira wa miguu
wa kulipwa anayecheza kama
mshambuliaji
katika
klabu
ya
Paris Saint-Germain F.C. (PSG)
iliyoko daraja la kwanza kwa wanawake na pia
timu ya taifa
ya
Kanada
Alifunga goli lake la kwanza la kitaifa akiwa mwenye umri wa miaka 16, kumfanya kuwa mchezaji bora kwenye michuano ya wanawake ya ligi ya UEFA kabla ya kufikisha 20 alikuwa ametajwa kama mrithi wa lejendi wa kikanada Christine Sinclair.
[2]
[3]
[4]