한국   대만   중국   일본 
John Updike - Wikipedia, kamusi elezo huru Nenda kwa yaliyomo

John Updike

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
John Updike, 1989

John Hoyer Updike ( 18 Machi 1932 27 Januari 2009 ) alikuwa mwandishi kutoka nchi ya Marekani . Alipokea Tuzo ya Pulitzer ya Bunilizi mara mbili, mwaka wa 1982 kwa riwaya yake Rabbit is Rich , na 1991 kwa Rabbit at Rest .

Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu .
Je, unajua kitu kuhusu John Updike kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari .