John O'Keefe (amezaliwa 18 Novemba , 1939 ) ni mwanabiolojia kutoka nchi ya Marekani . Tangu 1967 aliishi Uingereza . Hasa alichunguza seli za ubongo. Mwaka wa 2014 , pamoja na May-Britt Moser na Edvard Moser , alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba .