Jiwe (wingi: mawe ) ni kitu chochote kigumu kitokanacho ardhini , kama vipande vidogovidogo ambavyo vinatokana na kuvunjika au kumeguka kwa miamba . Huundwa na madini mbalimbali yanapochanganyika kwa mvua na joto kali hukausha maji au hata pia mkandamizo.