Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jimbo la Oromia
(kwa
Kioromo
:
Oromiyaa
) ni
moja
ya
majimbo
12 ya kujitawala ya
Ethiopia
.
Idadi
ya wakazi wake ni takriban 27,158,471, hivyo linaongoza nchini kwa ukubwa wa eneo na kwa idadi ya
watu
.
Makao makuu
ni
Adama
.
|
Makala hii kuhusu maeneo ya
Ethiopia
bado ni
mbegu
.
Je unajua kitu kuhusu
Jimbo la Oromia
kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuongeza habari
.
|