Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jimbo la Mataifa ya Kusini
(kwa
Kiamhari
: ??? ???? ??????? ????,
Ye-Debub B?hero?? B?heresebo??-?nna H?zbo??
; kwa
Kiingereza
"Southern Nations, Nationalities, and Peoples’ Region",
kifupi
: SNNPR) ni moja kati ya
majimbo 12 ya kujitawala ya Ethiopia
.
Jimbo liko
kusini
mwa nchi, likipakana na
Kenya
upande wa kusini,
Sudan Kusini
upande wa
magharibi
na majimbo ya Ethiopia ya
Gambela
upande wa
kaskazini
na
Oromia
upande wa kaskazini,
mashariki
na kusini-mashariki.
Tofauti na majimbo mengine ya
Ethiopia
yenye kabila au kundi 1 hasa, hapa kuna vikundi vingi vidogovidogo kwa jumla 45. Wakazi wengi huishi mashambani ama vijijini au kama
wahamiaji
katika makambi yao ya kuhama.
Mji mkuu
wa jimbo ni
Awassa
, lakini baada ya jimbo kumegwa, mji huo umekuwa wa
jimbo la Sidama
, hivyo unafikiriwa mwingine.