Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jiji
ni
mji
mkubwa. Kuna tofauti kati ya nchi na nchi wakati wa kueleza ni sifa gani pamoja na ukubwa gani vinavyofanya mji kuwa mji mkubwa au jiji.
Mji mkubwa kwa kanuni za takwimu
Kimataifa kulikuwa na makubaliano kwenye
mkutano
wa kimataifa wa
takwimu
ya
mwaka
1887
ya kuhesabu kila mji wenye wakazi zaidi ya 100,000 kama "mji mkubwa", miji kati ya wakazi 20,000 na 100,000 kama miji ya wastani na ile kati ya wakazi 5,000 na 20,000 kama miji midogo. Kufuatana na
hesabu
hiyo kulikuwa na miji mikubwa 1,700
duniani
mnamo mwaka
2002
.
Majiji ya Afrika ya Mashariki
Nchini
Tanzania
ni
Dar es Salaam
pamoja na
Arusha
,
Dodoma
,
Mbeya
,
Mwanza
na
Tanga
, inayoitwa "jiji"; nchini
Kenya
ni
Nairobi
pamoja na
Mombasa
na
Kisumu
. Kati ya miji hiyo ni Nairobi na Dar es Salaam pekee yenye wakazi zaidi ya
milioni
mbili
.
Majiji makubwa ya Afrika
- Lagos
,
Nigeria
- milioni 16
- Kinshasa
,
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo
- milioni 11.9
- Cairo
,
Misri
- milioni 10.2
- Casablanca
,
Moroko
- milioni 5.1
- Abidjan
,
Cote d'Ivoire
- milioni 4.8
- Aleksandria
,
Misri
- milioni 4.6
- Johannesburg
,
Afrika Kusini
- milioni 4.4
- Dar es Salaam
,
Tanzania
- milioni 4.4
- Giza
,
Misri
- milioni 4.2
- Cape Town
,
Afrika Kusini
- milioni 3.7
- Khartoum
,
Sudan
- milioni 3.6
- Durban
,
Afrika Kusini
- milioni 3.4
- Algiers
,
Aljeria
- milioni 3.4
- Ekurhuleni
,
Afrika Kusini
- milioni 3.2
- Nairobi
,
Kenya
- milioni 3.1
- Addis Ababa
,
Ethiopia
- milioni 3.1
- Luanda
,
Angola
- milioni 2.8
- Douala
,
Kamerun
- milioni 2.4
- Yaounde
,
Kamerun
- milioni 2.4
- Ouagadougou
,
Burkina Faso
- milioni 2.2
- Kano
,
Nigeria
- milioni 2.2
- Accra
,
Ghana
- milioni 2.1
- Brazzaville
,
Jamhuri ya Kongo
- milioni 1.8
- Maputo
,
Msumbiji
- milioni 1.8
- Lusaka
,
Zambia
- milioni 1.7
- Harare
,
Zimbabwe
- milioni 1.6
- Oran
,
Aljeria
- milioni 1.6
- Kampala
,
Uganda
- milioni 1.5