Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jermaine Dupri Mauldin
(anafahamika zaidi kwa
jina la kisanii
kama
Jermaine Dupri
au
J.D.
; amezaliwa
23 Septemba
1972
) ni mshindi wa
Tuzo ya Grammy
, akiwa kama
msanii
bora wa rekodi, mtayarishaji,
mtunzi
wa
nyimbo
, na
mwigizaji
kutoka nchini
Marekani
.
Amefanya kazi na
wasanii
kama
Mariah Carey
,
Nelly
,
Janet Jackson
,
Chante Moore
,
Tamia
,
Mya
,
Kris Kross
, na wengine wengi tu, huko Marekani.
|
Makala hii kuhusu mwanamuziki/wanamuziki fulani wa Marekani bado ni
mbegu
.
Je, unajua kitu kuhusu
Jermaine Dupri
kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuongeza habari
.
|