Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jeremy Renner
|
Renner kwenye sherehe ya
2014 San Diego Comic-Con International
|
Amezaliwa
|
Jeremy Lee Renner
7 Januari
1971
(
1971-01-07
)
(umri 53)
Modesto, California
, U.S.
|
Kazi yake
|
Mwigizaji/mwanamuziki
|
Miaka ya kazi
|
1995?hadi sasa
|
Jeremy Lee Renner
(amezaliwa tar.
7 Januari
1971
) ni mwigizaji wa filamu na vilevile mwanamuziki kutoka nchini
Marekani
. Renner ameonekana kwenye filamu katika kipindi cha miaka ya 2000, hasa katika nyusika za usaidizi, kama vile kwenye
Dahmer
(2002),
S.W.A.T.
(2003),
Neo Ned
(2005), na
28 Weeks Later
(2007).
Hatimaye akaja kuwa maarufu na ufahamiko wa haja kwa kucheza nyusika kadhaa katika filamu ya
The Hurt Locker
(2009),
The Bourne Legacy
, na
The Avengers
(2012). Alizapata kuchaguliwa kama Mwigizaji Bora katika
Tuzo za Academy Award
kwa uhusika wake wa mwaka wa 2009 kwenye filamu iliyoshinda tuzo hizo
The Hurt Locker
. Mwaka uliofuata kaonekana kwenye mafilamu makubwakubwa kama vile
The Town
.
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
|
Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani wa Marekani bado ni
mbegu
.
Je, unajua kitu kuhusu
Jeremy Renner
kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuongeza habari
.
|