Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jaouad Akaddar
(9 Septemba 1984 - 20 Oktoba 2012) alikuwa mchezaji wa soka wa Moroko. Jaouad alifariki tarehe 20 Oktoba 2012 baada ya kupata mshtuko wa moyo mara moja baada ya kumalizika kwa mechi.
[1]
[2]
Akaddar alichezea Olympique Khouribga, FAR Rabat, na Moghreb Tetouan kabla ya kwenda nje ya nchi na Ahly Tripoli na Al-Raed.
[3]
Akaddar aliwakilisha timu ya taifa ya
Morocco
mara moja katika ushindi wa 1-0 dhidi ya
Equatorial Guinea
tarehe 6 Julai 2003 katika mchuano wa kufuzu kwa Kombe la Mataifa ya Afrika mwaka 2004.
[4]
|
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni
mbegu
.
Je, unajua kitu kuhusu
Jaouad Akaddar
kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuongeza habari
.
|