Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
James Marcus Schuyler
(
9 Novemba
1923
–
12 Aprili
1991
) alikuwa mshairi kutoka nchi ya
Marekani
. Kuanzia 1947 aliishi nchini
Italia
alipofanya kazi kama msaidizi wa
W. H. Auden
. Mwaka wa 1969 aliandika riwaya “A Nest of Ninnies”pamoja na
John Ashbery
. Mwaka wa 1981 alipokea
Tuzo ya Pulitzer ya Ushairi
.
|
Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni
mbegu
.
Je, unajua kitu kuhusu
James Schuyler
kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuongeza habari
.
|