Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Ramani ya Indonesia inayoonyesha mahali pa Jakarta
Jakarta
(zamani iliitwa
Batavia
) ni
mji mkuu
wa
Indonesia
. Iko kwenye kisiwa cha
Java
, na mahali pake ni 6, 11, Kusini, na 106, 50, Mashariki. Ukubwa wa eneo lake ni 661.52 km². Idadi ya wakazi wake imekadiriwa kuwa 8,792,000 (mwaka wa 2004).
|
Makala hii kuhusu maeneo ya
Asia
bado ni
mbegu
.
Je unajua kitu kuhusu
Jakarta
kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuongeza habari
.
|
WikiMedia Commons