Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Julius Robert Oppenheimer
(
New York City
,
Aprili 22
,
1904
-
Princeton
,
New Jersey
,
Februari 18
,
1967
) alikuwa
mwanafizikia
wa
Marekani
mwenye
asili
ya
Uyahudi
.
Anajulikana kama
mkurugenzi
wa ki
sayansi
wa
Mradi wa Manhattan
.
Katika
Vita Kuu ya Pili ya Dunia
, mradi ulijenga
silaha
za kwanza za
nyuklia
. Ndiyo maana Oppenheimer inaitwa "
baba
wa
bomu la nyuklia
".
|
Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni
mbegu
.
Je, unajua kitu kuhusu
J. Robert Oppenheimer
kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuongeza habari
.
|