한국   대만   중국   일본 
Iyasu V - Wikipedia, kamusi elezo huru Nenda kwa yaliyomo

Iyasu V

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Iyasu V

Iyasu V ( 4 Februari 1887 25 Novemba 1935 ) alikuwa mfalme mkuu wa Uhabeshi kuanzia mwaka 1913 hadi 27 Septemba 1916 . Alimfuata babu yake, Menelik II . Jina lake la kubatizwa lilikuwa Kifle Yaqub .

Kwa vile alipendekeza imani ya Kiislamu hakuvishwa taji na alizuliwa. Aliyemfuata ni shangazi yake, Zauditu . Hali ya kifo chake haijulikani. Kilitangazwa mwezi wa Machi 1936 tu.

Makala hii kuhusu Kaizari fulani wa Uhabeshi bado ni mbegu .
Je, unajua kitu kuhusu Iyasu V kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari .