Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
|
Makala hii kuhusu
"Ivan Toms"
ni fupi mno. Inahitaji kupanuliwa mapema.
|
Ivan Toms
(alizaliwa
Julai 11
mwaka
1952
-
25 Machi
2008
) alikuwa
daktari
wa
Afrika Kusini
, ambaye alipambana na serikali ya enzi ya
ubaguzi
wa rangi kama
mwanaharakati
mashuhuri wa kupinga
Ubaguzi wa rangi
.
[1]
Wakati wa kifo chake mnamo
2008
, Toms alikuwa akihudumu kama Mkurugenzi wa Afya wa jiji la
Cape Town, Afrika Kusini
.
[2]
Ivan Toms alizaliwa Cape Town tarehe 11 Julai
1952
.
[3]
Alipata shahada yake ya matibabu katika
Chuo Kikuu cha Cape Town
mwaka wa
1976
.
[3]
Alihudhuria Shule ya Upili ya Glenwood huko Durban kwanzia mwaka
1965
hadi
1969
. Alikuwa naibu Mkuu wa Mkoa mnamo
1969
.
- ↑
"
Ivan Toms, doctor who battled policy of apartheid
",
The Boston Globe
, 28 March 2008. Retrieved on 2008-04-14.
- ↑
"
Ivan Toms, 'bravest of the brave', dies in Cape Town
", 25 March 2008. Retrieved on 2008-04-14.
- ↑
3.0
3.1
Beresford, David. "
Ivan Toms, South African doctor opposed to the conscription that bolstered apartheid
",
The Guardian
, 10 April 2008. Retrieved on 2008-04-14.
|
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni
mbegu
.
Je, unajua kitu kuhusu
Ivan Toms
kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuongeza habari
.
|