Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Ivan Ivanovich Shishkin
(
Kirusi
: Иван Иванович Шишкин;
25 Machi
1832
-
20 Januari
1898
) alikuwa mchoraji wa picha za mandhari kutoka
Urusi
. Yeye alizaliwa katika
Yelabuga
na alisoma katika Chuo cha Sanaa,
Bombwe
na
Ujenzi
mjini
Moscow
. Pia alisoma katika Chuo cha Sanaa mjini
Sankt Peterburg
.
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
|
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni
mbegu
.
Je, unajua kitu kuhusu
Ivan Shishkin
kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuongeza habari
.
|