Korean
Chinese(T)
Chinese(S)
Japanese
English
한국
대만
중국
일본
변환
병기
급수선택
1급
2급
3급
4급
5급
6급
7급
8급
추천사이트
변환기
이용안내
한국
대만
중국
일본
Israeli (maana) - Wikipedia, kamusi elezo huru
Nenda kwa yaliyomo
Menyu kuu
Menyu kuu
hamishia kwenye mwambaa upande
ficha
Urambazaji
Mwanzo
Jumuiya
Matukio ya hivi karibuni
Mabadiliko ya karibuni
Ukurasa wa bahati
Msaada
Michango
Tafuta
Tafuta
Unda akaunti
Ingia
Zana binafsi
Unda akaunti
Ingia
Pages for logged out editors
learn more
Michango
Majadiliano
Israeli (maana)
Lugha 41
???????
?????
Az?rbaycanca
Баш?ортса
Batak Toba
Cebuano
Ч?вашла
Dansk
Deutsch
English
Espanol
?????
Suomi
Francais
?????
???????
Italiano
日本語
韓國語
Latina
Ladino
Lietuvi?
Bahasa Melayu
Nederlands
Norsk bokmal
Portugues
Русский
Саха тыла
Srpskohrvatski / српскохрватски
Sloven?ina
Српски / srpski
Svenska
???
Tagalog
Turkce
Укра?нська
????
Walon
??????
中文
?南語 / Ban-lam-gu
Hariri viungo
Makala
Majadiliano
Kiswahili
Soma
Hariri
Hariri chanzo
Fungua historia
Zana
Zana
hamishia kwenye mwambaa upande
ficha
Vitendo
Soma
Hariri
Hariri chanzo
Fungua historia
Kijumla
Viungo viungavyo ukurasa huu
Mabadiliko husika
Pakia faili
Kurasa maalumu
Kiungo cha daima
Maelezo ya ukurasa
Taja ukurasa huu
Pata URL iliyofupishwa
Pakua msimbo wa QR
Wikidata kifungu
Chapa/peleka nje
Tunga kitabu
Pakua kama PDF
Ukurasa wa kuchapika
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Israeli
ni jina linalotaja
Nchi ya
Israeli
ya kisasa
Israeli ya Kale
ambayo ni nchi au pia jumuiya ya watu ambao
historia
yao husimuliwa katika Biblia.
Watu wa
Biblia
wanaotajwa katika
Tanakh
au
Biblia ya Kiebrania
; kwa hiyo pia katika
Agano la Kale
tena katika
Agano Jipya
katika
Biblia ya Kikristo
Yakubu
mwana wa
Isaka
mwana wa
Ibrahimu
(Abrahamu) alipewa jina la Israeli baada ya kushindana na
Mungu
(tazama
Mwanzo (Biblia)
32,29 "maana umeshindana na Mungu na watu nawe umeshinda")
jina la pamoja kwa ajili ya
makabila 12
waliotokana na wana 12 wa
Yakobo-Israeli
, mara nyingine kwa
umbo
la
Wanaisraeli
jina la
milki
ya kaskazini ya
Israeli (milki)
iliyoanzishwa baada ya
kifo
cha
mfalme
Suleimani
kando ya milki ya
Yuda
; historia ya hizo mbili kwa jumla hujadiliwa chini ya jina "Israeli ya Kale".
Baada ya maangamizi ya milki ya kaskazini katika
vita
dhidi ya
Waashuri
jina lilitumiwa kwa ajili ya watu wa milki ya kusini yaani watu wa milki ya Yuda
Baada ya maangamizi ya milki hiyo pia jina lilitaja
Wayahudi
kama jumuiya ya kidini na
taifa
lililokaa katika sehemu mbalimbali (linganisha matumizi katika Agano Jipya kwenye
Waraka kwa Waroma
9,6 na 11,25)
Kwa kutaja Wayahudi jina latumiwa katika
Qurani
mara nyingi kama "wana wa Israeli"
Kwa watu wanaoitwa
taifa teule
katika
Agano la Kale
tazama kwa jumla
Israeli ya Kale
Israeli ni pia
jina la kawaida la
mwanamume
kati ya Wayahudi
hadi leo
Jamii
:
Watu wa Biblia
Historia ya Biblia
Toggle limited content width