Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Idara
(kutoka
neno
la
Kiarabu
; kwa
Kiingereza
:
department
) ni sehemu ya
wizara
ya
serikali
,
taasisi
au
asasi
kubwa inayoshughulikia jambo maalumu.
Muundo wake na taratibu za kazi ni mbalimbali, kadiri ya malengo.
|
Makala hii kuhusu mambo ya sheria bado ni
mbegu
.
Je, unajua kitu kuhusu
Idara
kama historia yake au uhusiano wake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuongeza habari
.
|