Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
IBM
(
kifupisho
cha
International Business Machines Corporation
) ni
kampuni
kutoka
Marekani
ambayo inatengeneza na kuuza
programu
,
vifaa
vya
kompyuta
, huduma za miundombinu, na huduma za ushauri.
IBM ni moja ya makampuni makubwa ya
teknolojia ya habari
duniani
. IBM imekuwa na
leseni
zaidi ya kampuni yoyote ya
teknolojia
kwa miaka mingi, na imetengeneza vitu muhimu ambavyo vimeboresha
kompyuta
.
|
Makala hii kuhusu mambo ya
uchumi
bado ni
mbegu
.
Je, unajua kitu kuhusu
IBM
kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuongeza habari
.
|