Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Historia ya Singapore
inahusu eneo ambalo leo linaunda
jamhuri
ya
Singapura
.
Kisiwa
hicho kiliwahi kuwa na makazi mbalimbali katika
historia
.
Mji
wa kisasa ulianzishwa
mwaka
1819
na
Waingereza
kama kituo cha
biashara
ikawa
bandari
muhimu ya eneo.
Uingereza
uliipa
uhuru
kama sehemu ya
shirikisho
la
Malaysia
. Lakini matatizo ya kuelewana yalionekana haraka kati ya
wanasiasa
Wamalay
wa
bara
na wenzao
Wachina
wa kisiwani.
Mwishowe Singapuri ikafukuzwa katika shirikisho ikawa nchi ya kujitegemea
tarehe
9 Agosti
1965
. Mwanasiasa
Lee Kuan Yew
alikuwa
waziri mkuu
wa kwanza akaendelea na
cheo
hicho hadi mwaka
1990
akaongoza Singapuri kuwa kati ya
mataifa
tajiri ya
Asia
.
|
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni
mbegu
.
Je, unajua kitu kuhusu
Historia ya Singapore
kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuongeza habari
.
|