Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Heshima
(kutoka
neno
la
Kiarabu
) ni
kitu
anachopewa
mtu
kama
alama
ya kuthaminiwa kwake. Kwa maana nyingine ni thamani ya utu (utukufu, daraja la juu au jaha).
Heshima inadaiwa na wenye
cheo
na
mamlaka
, kuanzia
wazazi
kutoka kwa
watoto
wao.
Pia heshima inatarajiwa na watu wenye sifa na
maadili
bora.
Heshima kuu ni ile anayoistahili
Mwenyezi Mungu
tu na ambayo inaitwa
ibada
.
Heshima mara nyingi inaendana na usikivu na
utiifu
.
|
Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni
mbegu
.
Je, unajua kitu kuhusu
Heshima
kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuongeza habari
.
|