Herufichini na herufijuu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mfano wa herufichini na herufijuu.

Herufichini na herufijuu (kwa Kiingereza : subscript and superscript ) ni herufi ( namba au herufi za alfabeti ) zinazowekwa chini au juu ya mstari wa kawaida.

Marejeo [ hariri | hariri chanzo ]

  • Kahigi, K. K. (2007). Ujanibishaji wa Office 2003 na Windows XP kwa Kiswahili Sanifu. Kioo cha Lugha , 5 (1).