Hermann Hesse ( 2 Julai 1877 ? 9 Agosti 1962 ) alikuwa mwandishi kutoka nchi ya Ujerumani . Baada ya Vita Kuu ya Kwanza ya Dunia alihamia Uswisi . Hasa aliandika riwaya . Mwaka wa 1946 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi .