Henri Moissan ( 28 Septemba 1852 ? 20 Februari 1907 ) alikuwa mwanakemia kutoka nchi ya Ufaransa . Baadhi ya utafiti mwingi alichunguza elementi ya florini . Mwaka wa 1906 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia .