Heike Kamerlingh Onnes ( 21 Septemba 1853 ? 21 Februari 1926 ) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya Uholanzi . Alichunguza elementi katika hali ya baridi sana. Pia alifaulu kuoesha elementi ya heliamu . Mwaka wa 1913 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia .