Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Harry Billy Winks
(alizaliwa
2 Februari
,
1996
) ni
mchezaji
wa
soka
wa
Uingereza
ambaye anacheza kama kiungo wa klabu ya
Tottenham Hotspur
na
timu ya taifa
ya Uingereza.
Harry Winks alizaliwa na
Anita
na
Gary Winks
. Yeye ni wa asili ya Kihispania kupitia mama yake. Alizaliwa na kukulia
Hemel Hempstead
na alifundishwa katika Shule ya
Cavendish
.
|
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni
mbegu
.
Je, unajua kitu kuhusu
Harry Winks
kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuongeza habari
.
|