Hamilton Othanel Smith (amezaliwa 23 Agosti 1931 ) alikuwa mwanabiolojia kutoka nchi ya Marekani . Hasa anajulikana kwa kugundua vimeng'enya vinavyowezesha usimbuaji wa DNA . Mwaka wa 1978 , pamoja na Werner Arber na Daniel Nathans alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba .