Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Hadithi
(kutoka
neno
la
Kiarabu
) ni sehemu ya
fasihi
. Hasa kuna aina kuu mbili za hadithi:
- hadithi za matukio na
wahusika
wa kubuni,
- hadithi za matukio ya kubuni na wahusika wa kweli au kinyume chake.
Hadithi ni tungo za fasihi simulizi zitumiazo lugha ya nadharia.
Kwa maana ya pekee neno hili mara nyingi linataja
hadithi za Mtume Muhammad
ambazo zinahesabiwa kati ya misingi ya imani ya
Uislamu
.
Hadithi za kubuni
- Ngano za mazimwi
: Wahusika wakuu huwa ni mazimwi ambao hupewa sifa zinazowatenga na
binadamu
wa kawaida.
- Ngano za mashujaa
: Husimulia visa na vitendo na matukio ya kishujaa yanayohusiana na
shujaa
wa jamii fulani.
- Ngano za usuli
: Hutoa asili au chanzo cha jambo.
- Hekaya
: Hizi ni hadithi za kijanja... mhusika mmoja
rafiki
wa wengine hupitia njia ya hila na
ujanja
.
- Ghurufa
: Wahusika huwa
wanyama
wanaowakilisha wanadamu wenye sifa za wanadamu hao.
- Ngano za kimafumbo
: Huwa na mafumbo yenye maana nyingine ya ndani.
Vipera vya hadithi
Hadithi ina vipera
vitano (5)
- Ngano
- Vigano
- Visasili
- Tarihi
- Soga.
|
Makala hii kuhusu mambo ya
lugha
bado ni
mbegu
.
Je, unajua kitu kuhusu
Hadithi
kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuongeza habari
.
|